VIJANA WA HEKALU LA SHAOLIN WAONYESHA UKALI WAO KATIKA KUNG FU

Wanafunzi katika hekalu la Shaolin katika mji Zhongshan huko Chongqing, China wakionyesha uwezo wao wa hali ya juu wamapigano ya Kung fu.

Picha za wanafunzi hao wa hekalu hilo la Mamonk wanaonekana wakipaa angani katika hali ya kustaajabisha wakati wakifanya mazoezi yao ya Kung fu.
        Vijana wa Shaolin wakiwa angani wakionyesha uwezo wao katika Kung fu
Inawezekana kuruka angani bila kuwa na mabawa kama anavyonekana mmoja wa vijana wa Hekalu la Shaolin
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment