Rais Barck Obama amekuwa rais wa kwanza kuitembelea Cuba baada ya miongo 10 kupta akiweka historia kwa ziara yake aliyoambatana na mkewe Michelle, watoto wake Sasha na Malia.
Wakati Obama akiwasili Jijini Havana alikaribishwa na mvua iliyokuwa ikinyesha na kwa upande mwingine kulikuwa na maandamano ya kundi la haki za binadamu.
Rais wa Cuba Raul Castro hakuwepo uwanja wa ndege kumpokea Obama wakati akitua katika uwanja wa ndege wa Havana.
Rais Obama akiwa na mwavuli akijikinga na mvua yeye na mkewe Michelle
Rais Obama akimueleza kitu binti yake Malia alipotembelea mji mkongwe wa Havana
Watoto wa rais Obama Malia na Shasha wakifurahi jambo wakiwa pamoja nchini Cuba
0 comments:
Post a Comment