Mchezaji Aleksandar Mitrovic ameipatia pointi moja muhimu Newcastle dhidi ya wapinzani wao waliopamoja mkiani timu ya Sunderland katika pambano kali la kujaribu kukwepa kushuka daraja lililoishia kwa sare ya 1-1.
Mshambuliaji huyo raia wa Serbia aliunganisha kwa kichwa krosi ya Georginio Wijnaldum dakika saba kabla ya mpira kuisha na kumpatia sare ya kwanza kocha mpya wa Newcastle Rafael Benitez. Jermain Defoe alifunga bao la kwanza kwa Sunderland.
Aleksandar Mitrovic akiupiga mpira kichwa na kujaa wavuni
Jermain Defoe akipiga shuti mpira uliojaa wavuni

0 comments:
Post a Comment