MUUGUZI ADAIWA KUWAUWA WAGONJWA 13 NCHINI ITALIA

Muuguzi mmoja nchini Italia amekamatwa kwa tuhuma kuwauwa wagonjwa 13 katika kesi iliyopachikwa jina la 'muuaji wa wodini'.

Polisi wameeleza kuwa muuguzi huyo mwanamke alikuwa anafanyakazi kitengo cha dawa za usingizi na cha wagonjwa mahututi katika mji mdogo wa Pwani wa Piombino huko Tuscany.

Wagonjwa hao waliuwawa mnamo mwaka 2014 na 2015 kwa kutumia dawa aliyochoma kwenye dripu za wagonjwa hao.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment