MAHAKAMA KUU YA AFRIKA KUSINI YASEMA ZUMA ALIKIUKA KATIBA

Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imetoa uamuzi kwamba rais Jacob Zuma amekiuka katiba baada ya kushindwa kulipa fedha za serikali alizotumia kujenga nyumba yake ya binafsi.

Mahakama hiyo katika uamuzi huo imeipatia ofisi ya hazina ya Afrika Kusini kuangalia kiasi atakachopatwa rais Zuma kukirejesha.

Uamuzi huo wa mahakama ni ushindi kwa kambi ya upinzania ambayo imesema itashinikiza kufanikisha rais Zuma kuondolewa madarakani.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment