Kikosi cha askari cha majini cha Ufaransa
kinachofanya dori kaskazini mwa bahari ya India kimeikamata meli
iliyojaa sialaha zinazosemekana zilikuwa zinapelekwa nchini Somalia. Mamia ya bunduki zikiwemo aina ya machine gun
pamoja silaha za makombora zimekutwa kwenye meli hiyo. Silaha zilizokamatwa zipo katika orodha ya
zilizopigwa marufuku na Umoja wa Mataifa kuingia mikononi mwa makundi
ya wapiganaji wa Somalia.Share
0 comments:
Post a Comment