USAFI WA CHUMBA CHA MTOTO


Afya bora kwa mtoto's photo.
Usafi ni kitu muhimu Kwenye maisha yetu ya kila siku.
Nyumba yenye mazingira machafu ni rahisi Watu wa humo wakaumwa mara kwa mara au kupata magonjwa kama pumu,infection n.k
Chumba hakitakiwi kiwe na msongamano wa vitu,weka vitu vichache muhimu tu kitanda,Kabati au masanduku,tv,dressing table basi .
Ili hewa na mwanga uweze kupita kiurahisi chumba kipate fresh air 24hrs ,msongamano wavitu ni hatari kwa watoto kupata pumu au mafua ya kudumu.
Mapazia na Mazuria yanatakiwa kufuliwa mara kwa mara yanabeba vumbi jembamba linaloweza mwadhiri mtoto na kumpa pumu au mafua ya kudumu
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 






Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment