KUCHACHA KWA MAZIWA YA MAMA

Afya bora kwa mtoto's photo.
Iwapo mama hatomnyonyesha mtoto kwa siku kadhaa kama alipata safari au kuumwa basi atakapo kuja mnyonyesha tena mtoto anaweza yakataa kunyonya!
Au iwapo akanyonya anaweza umwa tumbo au kuhara ila kumbuka watoto hutofautiana mwingine anaweza asipatwe na yote hayo na akanyonya kama kawaida.
Ikatokea ameyakaata kamua(pump) toa yale ya mwanzo utaona yanarangi ya njano,mazito na yana nata nata mkononi na kutoa kiharufu.
Kamua mpaka upate yale MAZIWA ya kawaida yenye rangi nyeupe ,jisafishe vizuri ndio umnyonyeshe,kwa wale wanaofanya kazi pia ukirudi nyumbani mtoto hataki nyonyo na ananjaa jaribu kutoa yale ya mwanzo ndio umnyonyeshe tena.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 






Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment