
Shirika
la Afya Dunia (WHO) limesema nchi ya Sierra Leone imemruhusu kutoka
hospitali mgonjwa wake wa mwisho wa Ebola.
Mgonjwa
huyo Adama Sankoh ameruhusiwa kutoka katika kituo cha tiba cha
kaskazini mwa wilaya ya Bombali jana asubuhi.
Nchi
hiyo haijapata maambukizi mapya kwa zaidi ya wiki mbili.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment