Producer mkongwe Nigeria Jezreel OJB amesema Wiz Kid alipata umaarufu baada ya kujiunga na lebel ya Banky W ‘Empire Mates Entertainment’ ila yeye ndio aliwaomba wazazi wa Wiz Kid wamwachie mtoto wao afanye muziki na alitumia nguvu na juhudi nyingi kufanikisha jambo hilo.
OJB anasema yeye ndio alikuwa akimpeleke
Wiz Kid kwenye show kama underground na kuomba wampe nafasi ya kufanya
show. OJB anasema anakaribia kufikisha miaka 50 na hana sababu ya
kujitafutia umaarufu ila anachosema ni kweli.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment