Redman akiongelea ujio wa filamu mpya ya “How High 2.” amesema umri wake umeenda sas ana anapendelea zaidi kuwa nyuma ya camera kuliko kuigiza.
Redman pia ndiye aliongoza video ya Erick Sermon “React” amesema “nataka kuwa nyuma ya camera ni ongoze filamu na nijifunze mambo mapya, mtu akitaka ni fanye naye video nitachukua camera na kufanya video bure kabisa”
Mwaka jana Redman alisema yeye na director wake Meth wameongea na studio za Universal kuhusu kutengeneza How High 2.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment