Staa wa filamu kutoka Hong Kong Chan Kong-sang aka Jackie Chan anatarajia kutembelea nchini Nigeria. Chan anakuja kutambulisha filamu mpya aliyoigiza ya ‘Dragon Blade’ iliyoongozwa na directed Daniel Lee.
Chan anatarajiwa kuwa Nigeria September 4 na ni mualiko a kampuni ya filamu ya FilmOne waliopata haki za kuoa fi,amu hio Afrika. Filamu hii ilionekana mara ya kwanza mwaka 2014 kwenye tamasha la filamu la Abuja International Film Festival na ilishinda tuzo tofauti kama best foreign film.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment