Mwimbaji kutoka Nigeria ‘ Wizkid’ amewapa mashabiki wake picha mbili akiwa na wasanii Nico & Vinz kutoka Norway kama kithibitisho kuwa ameshaingia nao studio na kazi imekamilika wakiwa mjini London.
Wiz mpaka sas aamesha fanya kazi wa watu wakubwa kwenye sana ya muziki Marekani kama Producer Mike Will Made It, Naughty Boy.Chris Brown, Drake na Diplo kwenye album yake mpya inayotoka mwezi ujao kupitia lebel yake ya Star Boy.
Nico na Vinz walikuwa wasanii wa kimataifa baada ya wimbo wao wa mwaka 2014 “Am I Wrong” .
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment