Hii imekuwa picha ya kwanza inayomuonyesha msanii Kelly Rowland ’34’ akiwa kwenye husika yake ya ‘Leah’ kwenye show ya Empire msimu wa pili.
Kelly anaigiza kama mama yake Lucious Lyon ikiwa ni sehemu ya histori ya Lucious na mama yake.
Mastaa wengine kama Alicia Keys, Chris Rock, Lenny Kravitz na Mariah Carey wataonekana kwemye Season 2 ya Empire.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment