Sauti Sol na Yemi Alade wafanya wimbo pamoja nje ya Coke Studio.

Wasanii wanaopeperusha bendera ya Kenya kwenye muziki wa kimataifa Sauti Sol wameingia studio na Mnigeria Yemi Alade baada ya kukutana naye Coke Studio. Wimbo wa Yemi Alade na Sauti Sol unatayarishwa na Cobhams Asuquo.
sauti 6

Yemi Alade ameshafanya kazi na Jua Kali aliyokuwa Nairobi kwenye Coke Studio.sauti

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share






 
Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment