Kwa mujibu wa Complex,Beyonce amewekwa kwenye cover la jarida la
Vogue toleo ya mwezi wa tisa. Toleo la mwezi wa tisa la Vogue magazine
ni toleo kubwa na linalonunuliwa zaidi kila mwaka kwa takwimu la jarida
hili ndio maana linakuwa kubwa na muhimu kwao.
Jarida la September la Vogue linatoka New York na Los Angeles mnamo August 18.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment