Busta Rhymes alitishia kumpiga shabiki makofi, kilichofata ndio hichi.



busta rr
Busta Rhymes anachunguzwa na polisi baada ya tuhuma za kutishia kumpiga shabiki makofi kwenye show ya tuzo za BET Awards.
Busta alikasirika baada ya mwanamke kumgonga wakati anacheza na Busta alisema “Don’t make me slap you,” Wiki iliyopita Busta alikamatwa kwa kosa la kumpiga mto na chupa ya maji kwenye jumba la mazoezi.0812-busta-rhymes-splash-4

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share






 
Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment