Hii ndio kazi atakayofanya Rihanna kwenye kipindi cha The Voice msimu wa Tisa.
Rihanna amejiunga na kipindi cha kutafuta vipaji cha ‘The Voice’ kama
mshauri wa majaji wa washindani. Rihanna atakuwa mshauri wa majaji wa
kipindi cha “The Voice.” kwenye msimu wa 9 unaorushwa na kituo cha NBC.
Majaji hao ni Pharrell Williams, Gwen Stefani, Adam Levine, na Blake
Shelton.
Msanii mwingine ni Missy Elliott ambaye atakuwa celebrity advisor kwa
Pharrell Williams, Selena Gomez na kwa Gwen Stefani,John Fogerty kwa
Adam Levine na Brad Paisley atakuwa mshauri kwa Blake Shelton.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment