Bado kama wiki moja na nusu kushuhudia
Sheria ya Kudhibiti Matumizi ya Mitandao Tanzania ikianza kufanya kazi
rasmi kabisa, hiyo ni kutokana na taarifa rasmi kabisa kutoka Mamlaka ya
Mawasiliano TCRA.
Nimeipata Ripoti toka China, wao walianzisha kitu kinachoitwa ‘Operation Clean Internet’ ambayo ilianza mwezi July 2015, hii ni kwa ajili ya kupambana na wahalifu wa Mitandaoni.
Katika Upelelezi uliofanyika mpaka sasa
kumekutwa matukio kama 7,400 ya uhalifu Mitandaoni inayohusishwa na kesi
za ku-hack account za watu pamoja na Makampuni.
Mpaka sasahivi watu waliokamatwa China ni 15,000 kutokana na kutuhumiwa na kesi za kujihusisha na uhalifu kwa kutumia Mitandao , hiyo ni ndani ya mwezi mmoja tu toka waanzishe hiyo Operation maalum kabisa!!
Kwa kuanza kabisa kudhibiti hii kitu
watu walitakiwa kuanzisha accounts Mitandaoni kwa majina yao kamili,
pamoja na Bloggers wote kujisajili Serikalini.
P yhaa tv come soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment