Habari nyingi kwa sasa katika michezo ni
kuhusiana na usajili wa wachezaji mbalimbali ndicho kitu kinacho weka
headlines kubwa katika vyombo vya habari, ilikuwa ni kuhusiana na Pedro Rodriguez kuhamia katika klabu ya Manchester United kabla ya dili hilo kubadilika.
Usiku wa August 19 zilianza kuandikwa tetesi kuwa Pedro atajiunga na klabu ya Chelsea na sio Man United kama ilivyoandikwa awali katika vyombo vya habari na kuwa walikubaliana bei, habari zimethibitika kwa Pedro kujiunga na Chelsea kwani alipewa ruhusu na FC Barcelona August 18 ili kwenda London kufanya vipimo vya afya.
Masaa 11 pekee yalitosha kuipiku Man United katika mbio za kusaka saini ya nyota huyo hivyo Pedro amethibitisha kuwa London kwa ajili ya vipimo vya afaya na anafuraha kujiunga na Chelsea… FC Barcelona na Chelsea wamekubaliana uhamisho wa euro milioni 30 ila kuna uwezekano wa kuongezwa euro milion 3 kulingana na kiwango atakacho onyesha Pedro. Pande zote mbili zimethibitisha uhamisho huo wa Pedro.
“Nafuraha
kuwa hapa na nina furaha kuanza kuitumikia Chelsea na nipo hapa
kuendeleza kutwaa mataji shukrani kwa klabu na mashabiki kwa kunipa
nafasi ya kuvaa jezi ya Chelsea “>>>Pedro
P yhaa tv come soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment