Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikata utepe kuzindua Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha
Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo,(kulia)Mke wa
Rais Mama Mwanamwema Shein na (kushoto) Waziri wa Elimu na mafunzo ya
Amali Ali Juma Shamuhuna,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Said Mohamed Seif
wakati alipotembelea katika madarasa ya Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA katika Chuo cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini
Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi rasmi,[Picha na Ikulu.}
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akitoa maelezo wakati alipotembelea maktaba ya Tawi la
Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Willium
Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi
rasmi,[Picha na Ikulu.}
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Said Mohamed Seif
(katikati) wakati alipotembelea katika madarasa ya Tawi la Chuo Kikuu
cha Taifa SUZA katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga
mdogo kaskazini Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi rasmi,[Picha na
Ikulu.}
Wanafunzi
katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Williuam Mkapa na Wanafunzi wa
Skuli ya Sekondari ya mchanga mdogo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza baada ya uzinduzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
katika Chuo hicho leo katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya
maendeleo Mkoa wa kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya Wazee na Wananchi wa Kijiji cha Mchanga mdogo Kaskazini Pemba wakiwa
katika sherehe za uzinduzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika
Chuo hicho leo katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo
Mkoa wa kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment