Manowari ya jeshi la majini la China yazuru Sudan



Manowari ya jeshi la majini la China jana ilitia nanga kwenye bandari ya Sudan na kuanza ziara ya siku tano nchini Sudan. Hii ni mara ya kwanza kwa manowari ya China kuizuru Sudan.
Kwenye ziara hiyo jeshi la majini la China litafanya shughuli mbalimbali, kama vile kuwaruhuru watu kutembelea manowari hiyo, tafrija, maofisa wake kwenda kwenye nyumba za kuwahudumia watoto yatima, mashindano ya kirafiki ya soka kati ya jeshi ya majini ya China na Sudan, na shughuli nyingine za michezo.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment