Joh Makini azidi kuvuka boda kathibitisha kufanyika kwa video 3 ikiwemo ya Rapper AKA wa South Africa


.
.
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Joh Makini na G Nako ambao wapo Afrika Kusini Johannesburg kwenye maandalizi ya video zao.

‘Joh ameelezaKila kitu kimeenda sawa, kila kitu kimeenda jinsi tulivyopanga namshukuru Mungu kwa maana yeye ndio amefanikisha sisi tuweze kufanikiwa ku shoot video za single zenu kwa takribani siku tatu  ukichukulia kama wiki tuko huku Johannesburg na tayari tumeshafanya video tatu   kwa hiyo watu wakae tayari kwa ujio wa G Nako na Joh Makini’ – Joh Makini
.
.
Kuna video ambayo mimi na rapper AKA wa South Africa halafu kuna video ya  G Nako pekee yake ambayo inaitwa Original na kuna video nyingine ambayo mimi nimeshirikishwa na binti mmoja mwimbaji kutokea Tanzania ambaye naye anakuja kwa hiyo vitu vingi vikubwa vinakuja kama nilivyokuambia tupo katika vibe ya kimataifa zaidi na tunamshukuru Mwenyezi Mungu kila kitu kinaenda sawa dua zetu muhimu katika kuipeperusha Bendera ya Tanzania’ – Joh Makini.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen





Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

1 comments: