Baada ya wimbo wa Trap Queen kutoka palikuwa na maana tofauti za maneno hayo. Maana moja ilikuwa “mwanamke anayejua kutayarisha dawa za kulevya za kuuza na amefanya kazi hio na kutajirisha familia yake na mpenzi wake “.
Fetty Wap ameliambia jarida la New York kuwa maana nyingine ya Trap Queen ni ” mwanamke aliyekuwa na uaminifu juu yako na kukuamini kwa kila jambo unalolifanya ambaye ni mama yake mzazi “.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment