Hongera nyingi kwa msanii wa rnb star Kelis
baada ya kutangaza kuwa anaujauzito na anategemea kupata mtoto wa pili.
Kelis ndio staa aliyeimba “Milkshake” na anamiaka 36 alifanya show
kwenye tamasha la Afropunk huko Brooklyn na kuonyesha tumbo lake kwa
mashabiki.
Fahamu Kelis tayari anamtoto wa miaka sita ‘Knight’ na rapa ambaye alikuwa mume wake ‘Nas’- Kelis P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
0 comments:
Post a Comment