Kim Kardashian amevunja rekodi ya msanii Beyoncé kwa kuwa na followers wengi zaidi instagram, mpaka sasa Kim K amepata followers milioni 44.
Kim kapata watu hawa ndani ya siku chache baada ya kutangza kutegemea mtoto wa pili na kuonyesha mabadiliko ya mwili wake.
Hii ndio top ten ya mastaa wenye followers wengi zaidi duniani.
4
![]() |
![]() |
- Kim Kardashian — 44,005,604
- Beyoncé — 43,935,648
- Taylor Swift — 43,533,226
- Selena Gomez — 41,843,095
- Ariana Grande — 41,696,873
- Justin Bieber — 36,994,254
- Kendall Jenner — 35,388,483
- Kylie Jenner — 33,703,166
- Nicki Minaj — 32,278,123
- Khloé Kardashian — 30,522,261P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
0 comments:
Post a Comment