August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates
wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo
ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza.
wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo
ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza.
Mashabiki walikuwa na kiu ya kukosa mechi za Ligi Kuu kwa muda ila kwa bahati mbaya mechi hiyo ya Arsenal dhidi ya Liverpool imemalizika kwa sare ya kutofunga goli (0-0).
Nazisogeza karibu yako picha za mechi hiyo mtu wangu
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment