Mwimbaji Orazi amezungumzia kikii
iliyotengenezwa na meneja wa Skiibii kuhusu kuzimia na kufariki na baada
ya dakika chache kuamka na kusema imemtangaza vizuri msanii huyo.
Orezi amesema ” ‘nothing like bad publicity’ akimaanisha hakuna kikii
mbaya na toka taarifa za kifo zilivyoskika watu wame Download na
kusikiliza muziki wa Skiibii zaidi, wame google jina lake na kumfuata
instagram ili kumfahamu zaidi ” .Orezi alimalizia kwa kusema “Kikii imekubali na Baada ya muda tutasahau tu “.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment