Producer wa Marvin’s records Don Jazzy
amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kutengana kimaisha na kikazi na
msanii/ rafiki yake D’Banj nakusema “ masshabiki wa Mo’ hits na vyombo vya habari ndio waliosababisha mambo yote “.
Don Jazzy anasema “Nikikutana na D’Banj tuna ongea na kupiga stori kama kawaida ila mashabiki na waandishi wa habari wanachochea ugomvi sana“.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment