Mwanaharakati Jesse Jackson amempiga marufuku mtoto wake ambaye ni rapa kutumia neno Nigga kwenye muziki wake.
Ashley Jackson ’16’ amewaambia waandishi wa habari kuwa ameekulia kwenye familia yenye nidhamu sana na atasikiliza maneno ya baba yake.
Mwanaharakati huyu alipinga na kushauri wasanii weusi mwaka 2006 waache kutumia neno Nigga kwenye muziki wao.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment