Beef ya 50 Cent na rapa French Montana
haijaisha kama ilivyotajwa mapema, hii imeonekana baada ya French
Montana kuponda kinywaji cha 50 Cent kilichopewa jina Effen vodka na
kusifia kinywaji cha bosi wake Pdd ambacho ni Ciroc.
French Montana ameonekana kwenye video akitupa vodk ya 50 Cent kwenye
pipa. Beef yao ilianza miaka mitatu nyuma baada ya 50 Cen kusema French
Montana hana uwezo wa kufanya wimbo mwenyewe.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment