&&&&&Talyor Swift anathamini urafiki kuliko pesa,apiga chini show ya dola milioni mbili ili kufanya hivi.&&&&&

ty 6
Talyor Swift anathamini urafiki kuliko pesa, apiga chini show ya dola milioni mbili ilikuimba kwenye sherehe ya mtoto wa rafiki yake.
Staa wa pop na muziki wa country Taylor Swift amekata show ambayo angelipwa dola za Kimarekani milioni 2 na kuimba kwenye sherehe ya mtoto wa rafiki yake.
Taylor alitakiwa kuimba kwenye show ya billionaire flani na kuongea na binti yake aliyekuwa anaolewa kwa dakika 30 tu na angelipwa pesa hizo.Taylor Swift ’25’ ana miliki maye zenye thamani ya pound milioni 160.
Taylor  ty 7
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 









Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment