![]() |
| Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji. |
![]() |
| Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku hiyo. |
![]() |
| Mkuu wa Chuo cha Polisi ,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo. |
![]() |
| Baadhi ya wahitimu. |
![]() |
| Baaadhi ya viongozi wa jeshi la Polisi wakifuatilia maonesho ya askari. |
![]() |
| Askari Polisi wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza Karate. |
![]() |
| Askari Polisi wahitimu wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti uharifu. |
![]() |
| Askari Polisi Wahitimu wakionesha mbinu mbalimbali walizofundishwa . |
![]() |
| Askari Polisi Wahitimu wakionesha namna wanavyoweza kutumia bastola. |
![]() |
| Askari wahitimu wa kike wakionesha namna ambavyo walivyofundishwa matumizi ya Bastola. |
![]() |
| Askari Polisi wahitimu wakionesha nmna ya kushusha wagonjwa kutoka gorofani. |
![]() |
| Askari Polisi wakionesha namna wanavyoweza kupambana na waharifu kwa kutumia kisu. |
![]() |
| Askari Polisi wa kike wakionesha namna ambavyo wanaweza kutumia kisu kupambana na mharifu. |
![]() |
| Bendi ya Muziki ya Chuo cha Polisi ikiongozwa na Venance Geuza ,maarufu kama Anko Vena zamani Dogo Vena wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo. |
![]() |
| Kwaya ya wahitimu wakicheza wakati wakitumbuiza katika sherehe hizo. |
![]() |
| Baadhi ya wahitimu. |
![]() |
| Baadhi ya maofisa wa Polisi wakiwa timamu Chuoni hapo. |
![]() |
Wahitimu wakiwa katika picha ya Pamoja.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
|



































0 comments:
Post a Comment