Kumbe Floyd Mayweather hana habari na pesa za benki?



weza
Utajiri wa staa wa ngumi duniani Floyd Mayweather bado umeendelea kuwa gumzo duniani.
Ukiachilia utajiri wa fedha nyingi alizonazo benki, Mayweather amekua akitunza kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake ili ziweze kumsaidia katika mahitaji mbalimbalimbali na pengine hajui ni kiasi gani alichonacho ndani.
Kwenye ukurasa wake wa @Instagram nyota huyo wa ngumi duniani aliweka picha akikusanya fedha zake na kuziweka kwenye beki tayari kwa safari yake.https://igcdn-photos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t51.2885-15/11356988_525990577549229_1301822115_n.jpg

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share



Tokeo la picha la twitter

comment
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment