Michezo Balotelli alivyoazimisha Birthday yake na wachezaji wenzake

BALO
Umaarufu wa mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli umesababishwa na vituko vyake pamoja na uwezo wake wa kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa.
Jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 25 na alitumia nafasi hiyo kuwaalika wachezaji wenzake kama sehemu ya kutimiza furaha yake.
BALO2
Balotelli aliamua kutengeneza keki yenye jezi namba 9 ambayo huivaa anapokuwa na kikosi cha timu ya taifa ya Italia na si ile anayovaa akiwa ndani ya klabu yake ya Liverpool. BALO3
Mtazame hapa alivyofanyiwa suprise na wenzake….

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share








usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment