Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Twitter basi taarifa hii kutoka kwao itakuwa inakuhusu moja kwa moja mtu wangu.
Tarehe 12 August kampuni ya Twitter imetangaza mabadiliko ya matumizi ya mtandao huo…kwanzia sasa kutuma message za private kwa njia ya Twitter imeboreshwa kufikia matumizi ya maneno 10,000 na sio maneno 140 kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Taarifa hii ilitolewa na Sachin Agarwal
amabye ni product manager wa mifumo ya message ya Twitter na sababu ya
wao kufanya mabadiliko haya yametokana na maombi mengi kutoka kwa
watumiaji tofauti duniani wa huduma hiyo.
>>>“wateja
wetu wengi wanaotumia private messages za Twitter wamekuwa wakiomba
tuwaongezee maneno ili waweze kusema kile walichokusudia bila kuwaza
kikomo cha kufikia maneno 140…lakini hii haimanishi kuwa tweets za
kawaida zitaongezeka maneno pia No. Tweets za kawaida zitabaki na kikomo
kilekile cha herufi 140 tu”.<<< Sachin Agarwal.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment