Mayunga - Nice Couple





mayunga
Mtanzania aliyeibuka mshindi kwenye shindano la Trace Music Star mbele ya Majaji watatu ndani ya Nairobi +254 ikiwemo Akon, Mayunga
anaanza rasmi kutengeneza njia yake kubwa kwenye muziki wa Kimataifa
baada ya kuiachia hii ngoma ya kwanza kabisa baada ya ushindi wake.

Kwa mara ya kwanza huu mdundo uliachiwa EXCLUSIVE on #TraceUrban na sasahivi tunapata nafasi nyingine kuishuhudia hii baada ya kunifikia na mimi mtu wako wa nguvu.

mayunga3

Hii video iko hapa mtu wangu, play ucheki huu ujio wa Mayunga chini ya usimamizi wa lebo ya Universal Music na mikono ya Akon.

mayung4

Video imefanyika South Africa chini ya usimamizi wa Trace Urban South Africa pamoja na Universal Records ambako Akon alihusika kwa upande huo na kama hukubahatika kuitazama video hiyo July 31 karibu uitazame tena hapa
P yhaa tv coming soon















Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE


share
 
















face book ipyana stephen





































































 






Share





































































































































































































































































usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 




















































































































































Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment