MANENO 6 YA ADNAN JANUZAJ BAADA YA KUSAINI BORUSSIA DORTMUND


Adnan Januzaj amekamilisha uhamisho wa kujiunga na  Borussia Dortmund kwa mkopo wa muda mrefu akitokea Manchester United.
Dortmund imeipiku Valencia ambayo ilikuwa inamuwinda nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji.
Valencia ilijaribu kumsajili Januzaj Jumapili iliyopita, lakini walishindwa na sasa kijana ametua Dortmund.
Januzaj poses with the No 9 shirt alongside Hans-Joachim Watzke (right) and Michael Zorc (left)

Januzaj ali-post picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa na jezi ya Dortmund na kuandika ujumbe usemao: 
"Nimefurahia kusaini Dortmund! Naangalia msimu mpya".
Adnan Januzaj looks set to complete a loan move to Borussia Dortmund
Januzaj ana miaka 20, ameichezea United mechi 62 na kufunga magoli 5.
Ametwaa makombe matano ya Ubelgiji.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment