KAMA UNADHANI YANGA YA KUUNGAUNGA MSIKIE BABU PLUIJM


Kocha Mkuu wa mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans, Mholanzi, Hans van der Pluijm amesema ana imani kubwa na kikosi chake na anaona kina nafasi ya kufanya vyema katika michuano yote mwakani.

“Michuano ya nyumbani na ya kimataifa, Yanga ina nafasi. Huenda wako wanaona kama kikosi chetu kina upungufu. “ Amesema Pluijm na kuongeza:“Huenda ni baada ya kutolewa katika michuano ya Kagame. Lakini wanasahau kwamba tuna kikosi bora na ambacho hakijabadilishwa sana.
“Tunaendelea kuwaamini wachezaji wetu, tunaendelea kuyafanyia marekebisho makosa ambayo tumefanya au yalijitokeza ili kuwa boara zaidi,”
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment