CHELSEA YAONYESHA NAMNA DIMBA LAO JIPYA LITAKAVYOKUWA

Mashabiki wa timu ya Chelsea wameonyeshwa kwa mara ya kwanza jinsi dimba lao la Stamford Bridge litakavokuja kuwa baada ya kufanyiwa upanuzi ili kuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 60,000.

Ujenzi wa uwanja huo unaotarajiwa kukamilika mwaka 2020 utagharimu kiasi cha paundi milioni 500, na Chelsea italazimika kuhama uwanja huo kwa kipindi cha miaka mitatu kupisha ujenzi.
  Muonekano wa ndani katika dimba jipya la Stamford Bridge
        Muonekano wa Stamford Bridge kwa juu
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment