Tyga na Kylie Jenner wamekuwa wakiweka headlines nyingi sana toka siku waliopigwa picha wako pamoja… maneno mengi yalisemwa juu ya Tyga kutembea na msichana huyo lakini hayo yote haijawazuia wawili hao kuwa kwenye mahusiano.
Baada ya kuonekana pamoja kwenye tuzo za MTV VMA’s 2015 siku ya jumapili, wiki hii Tyga kaamua kuachia video yake mpya ambayo ndani mpenzi wake Kylie Jenner ndio video queen… wimbo unaitwa ‘Stimulated’
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment