GARI LAACHA NJIA NA KUPINDUKA KAKONKO KIGOMA

Gari lenye usajili T 896 BFB likiwa limeacha njia na kupinduka Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma , ambalolilikuwa limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo kuhamishiwa katika gari lingine.
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment