Mamlaka nchini Marekani
imewamefungulia mashtaka ya jinai watu tisa baada ya kuhusika na wizi wa
mtandaoni kabla ya kuchapishwa kwa niaba ya wafanyabiashara wa fedha.
Kundi hilo la wadukuzi mtandaoni, linadaiwa kudokoa zaidi ya habari mia moja na hamsini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Mdhibiti wa masuala ya fedha wa Maekani pia amewafungulia mashtaka watu tisa na watu wengine ishirini na tatu pamoja na makampuni binafsi yakiwemo pia ya Urusi, Malta, Ufaransa na Cyprus ambao inasemekana walihusika na udanganyifu.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment