Msimu
uliopita, Barcelona walishinda makombe matatu na wameanza msimu mpya
kwa kushinda kombe lao la kwanza ambalo limepata jina mpya la Tbilisi
Lionel Messi akiwa na hisia kali baada ya Barca kuichapa 5-4 Sevilla katika mechi a fainali iliyopigwa mji mkuu wa Georgia
Luis Suarez akinyanyua ndoo
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE


0 comments:
Post a Comment