Taarifa iliyonifikia muda si mrefu kupitia Instagram inamhusu superstaa wa Bongo Flevani Alikiba kufanya collabo na msaani mkubwa wa RnB Marekani Ne-Yo.
Ni tangazo lililotolewa na kampuni inayomsimamia Alikiba, ROCKSTAR4000 kupitia page yao ya Instagram likisema: >>>“Exciting
News: African superstar Alikiba will be collaborating with
International Superstar Ne-Yo–More news to
follow….#kingkiba#ROCKSTAR4000″.<<<@rockstar4000.Ne-Yo
ambaye alikuwa miongoni mwa wasaani waliotumbwiza kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 anatarajia kurudi tena Africa sema safari hii ataungana na wasaani wengine kutoka Africa kwenye kipindi cha Coke Studio Africa kinachofanyika Nairobi Kenya.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment