44 waliteketea hadi kufa Tianjin China


 
Vyombo vya habari China vinasema watu arobaini wamefariki kutokana na milipuko mikubwa katika kiwanda.
 

 
Moshi mweusi bado umetanda kutoka ghala hilo lililopo katika mji wa bandari wa Tianjin ambako milipuko ilitokea jana usiku
.
 
 Mabweni ya wahamiaji yaliporomoka kutokana na milipuko hiyo.

 
Video zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinaonyesha moto mkubwa na wingu kubwa la moshi lililotanda angani.
 






Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share








usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 



Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment