NJIA ZIPI UNATUMIA KUKUZA AKILI YA MTOTO ! Watoto ni waelewe sana na wanakuwa kulingana na malezi wanayopewa kama bora atakuwa smart ,kama mabaya asilimia ya kusmart ni mdogo!
Mtengee mda ujue ratiba yake akitoka shule anatakiwa kufanya nini,na wale wadogo wasio enda shule vile vile anatakiwa tengewa mda wake!
Njia za kuwakuza akili zao kupitia Kuwasomea 1:Hadidhi -hapa wanajifunza maneno mapya mengi na Kujifunza kuongea kwa haraka!wana kuwa na kumbukumbu nzuri na wepesi wa kuchambua na kuelewa mambo kwa urahisi!
2:VITABU Vya numbers,michoro,matunda,vyakula,wanyama,vitu
asilia,majengo,usafiri,kupaka rangi kwenye michoro ya vitabu au kuchora.
3: Toys za kuchezea-zipo za kila maumbo ,Siku hizi zipo nyingi sana za kujenga kama Lego,wanyama,reli,daraja,mbuga za wanyama,vitu vya jikoni,puzzle,kuna piano,gitaa n.k
4:Mfunze kuogelea ,kucheza mpira,kucheza game za watoto una download kwenye simu yako ni nzuri kukuza akili!
Leo tuishie hapo ,wew mzazi wajibu wako kumsupport mwanao na kazi zake za shule ! Tag rafiki.

0 comments:
Post a Comment