KUCHANGANYA KARANGA KWENYE UJI WA LISHE WA MTOTO NI HATARI !
Uji wa lishe wa mtoto ni mzuri ila unapotengenezwa vibaya ni sumu mbaya kwa mtoto alie chini ya Miaka 5! ▶▶Ukitengeneza lishe ya mtoto epuka kuchanganya na karanga ,saga karanga pembeni hifadhi Kwenye chombo safi cha plastic funika! wakati unapika uji ndio utaongezea iyo karanga . ▶▶Usitengeneze karanga nyingi na isikae zaidi ya SIKU 7! Sababu ikikaa sana inatengeneza fangasi ambayo inaenda mwadhiri ini mtoto! (Saratani ya ini) ✳✳wengi hukosea jinsi ya kutengeneza uji wa lishe next time tutajifunza Jinsi ya kuandaa
!

0 comments:
Post a Comment