




Rais
Kikwete akiendelea na hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo ambapo
pamoja na mambo mengine aliwakumbusha Mabalozi kuwathamini Watanzania
waishio nje ya nchi, kuendelea kusaidia upatikanaji wa misaada ya
maendeleo, masoko ya bidhaa za Tanzania, wawekezaji na teknolojia bora. 



Mhe. Rais Kikwete akiteta jambo na Waziri Membe kabla ya kuwahutubia Mabalozi
Waziri
Membe akijadiliana jambo na Katibu Mkuu, Balozi Mulamula huku Balozi
Sefue akisikiliza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa Mabalozi
wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi.


Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Sekretarieti ya Mkutano wa Nne wa Mabalozi
Mhe. Rais Kikwete akiongozana na Balozi Mulamula kuelekea eneo la kupata picha ya pamoja.


Mhe.
Rais Kikwete kwa pamoja na Waziri Membe, Naibu Waziri, Mhe. Dkt.
Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Balozi Sefue, Balozi Mulamula, Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Simba Yahya, Makamu Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge, Mhe. Mussa Zungu, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe.
Paul Makonda wakiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wote.

0 comments:
Post a Comment