KWANINI MTOTO ANAKATAA KUNYONYA


 
 
KWANINI MTOTO ANAKATAA KUNYONYA? ♤Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto ,yanamfanya apate afya nzuri ambayo yana virutubisho,calories;na vimiminika vinavyo mwongezea uzito kwa haraka. ♢yana mwepusha na maradhi mengi cancer,mzingo (allergy), infection ya masikio ,kuharisha,pumu,kuhara mara kwa mara ,na mengine mengi.
kwanini mama anyonyeshe? ♢ni rahisi yanapatikana mda wowote sio gharama. ♢mama anaponyenyesha anapùnguza hatari ya kupata cancer. ♢inamsaidia kuchelewesha kuona hedhi ya mama na kumfanya kutunzwa kwa madini ya chuma mwilini. ♢itakusaidia kuimarisha mifupa ata ukazeeka basi baro utakuwa imara ¡
WaMama nawaomba sana nyonyesheni watoto ni muhimu sana ,acheni kutumia maziwa ya kopo kama unaewezo wa kunyonyesha na kama wewe unafanya kazi basi pump(kamua)maziwa mwachie house gal atampa mtoto ,yahifadhi hayo maziwa kwenye friji! ♧Inapotokea mtoto anakataa kunyonya basi ujue anamatatizo haya
1Anamaumivu mdomoni,au infections (mwangalie mtoto mdomoni vizuri)
2Atakuwa na infection ya sikio, akinyonya maziwa akiwa amelalia sikio anaumia na ndio hapo atakataa kunyonya.
3Kupata mafua kunasababisha.
4Utokaji wa maziwa umepungua hivyo atakuwa anatumia nguvu kunyonya na hayatoki .
5Kutoka kwa meno kunasababisha kukataa kunyonya.1
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment